Wacha Biblia Iseme Apk

Wacha Biblia Iseme Apk

Latest version 0.0.1
10 Jul 2016

Older Versions

Apk Infos

Version0.0.1
Rating4.4/5, based on 22 votes
Size‎3.5 MB
Requires AndroidAndroid 4.0+ (Ice Cream Sandwich)
Author's NotesConfrontation is not the purpose of this Application.

About Wacha Biblia Iseme APK

Wacha Biblia Iseme APK Download for Android
Wacha Biblia Iseme APK Download for Android

Description

Kuzozana sio makusudio ya kuandika Risala hii. Makusudio ya hakika ni kutaka kuwapa mwangaza Wakristo na Waislamu ambao katika sehemu nyingi za ulimwengu inawapasa waishi kama ni wananchi wamoja na jirani. Inatumainiwa pindi wakinawirika, na kila mmoja akaifahamu vyema misingi ya imani ya mwenziwe, wote watakuja thamini ule msingi mmoja unaowaunga wote kwenye Imani ya asli, nayo ndiyo Dini ya Ulimwengu mzima inayofunza kila mwanaadamu ajisalimu kwa ukamilifu wake kwenye mapenzi ya Mwenyezi Mungu Mmoja wa kweli, kwani hapo ndipo unapotegemea mwendo mwema wa binaadamu.

How to install Wacha Biblia Iseme APK on Android phone or tablet?

Download Wacha Biblia Iseme APK file from ApkClean, then follow these steps:

Update Phone Settings

  • Go to your phone Settings page
  • Tap Security or Applications (varies with device)
  • Check the Unknown Sources box
  • Confirm with OK

Go to Downloads

  • Open Downloads on your device by going to My Files or Files
  • Tap the APK file you downloaded (com.asmi.Bibliaiseme-v0.0.1-ApkClean.apk)
  • Tap Install when prompted, the APK file you downloaded will be installed on your device.

Older Versions

0.0.1 (2)3.5 MB

Questions & Answers

Q: What is an APK File?

A: Just like Windows (PC) systems use an .exe file for installing software, Android does the same. An APK file is the file format used for installing software on the Android operating system.

Q: If I install an APK from this website, will I be able to update the app from the Play Store?

A: Yes, absolutely. The Play Store installs APKs it downloads from Google's servers, and sideloading from a site like ApkClean.net goes through a very similar process, except you're the one performing the downloading and initiating the installation (sideloading).
As soon as the Play Store finds a version of the app newer than the one you've sideloaded, it will commence an update.

Q: Why ApkClean.net can guarantee APK 100% safe?

A: Whenever someone wants to download an APK file from ApkClean.net, we'll check the corresponding APK file on Google Play and allow user download it directly (of course, we'll cache it on our server). If the APK file does not exist on Google Play, we'll search it in our cache.

Q: What are Android App permissions?

A: Apps require access to certain systems within your device. When you install an application, you are notified of all of the permissions required to run that application.

Don't hesitate to contact us if you have any questions or concerns.

(*) is required

User's Reivew

1 ★Wamepewa neema tu wale waliaminio jina lake.ndio hao wanauwezo wakuzitambua siri za mbinguni. Nasio nyie wapinga kristo.Neema ya Mungu naiwafunike hasira yake Isiwajilie.Amen!!!!
1 ★Yaan unazid kuwapotosha wenzako maana ww ni mwalimu kipofu , polen sana endelea kupata pesa kwa hii ila uliyoyafafanua yote ni tofaut na ulivyotafsir ww huwez kuelewa maana ya iyo mistar yote kama huna Roho mtakatifu , na Roho mtakatifu huwez kumpata kama haujampokea Yesu kuwa bwana na mwokoz wa maisha yako , kwa maan hayo mambo yapo kiroho sana ila niny waislamu munayachukulia kimwili, kikawaida, kishikaji, ! Nawasikikitikia sana maandiko munayajua sana ila hamjui maana yake. Polen saaana
5 ★Allah awabariki na awape ujira kutokana na hili kazi in sha Allah
5 ★Mashaallaah, uchambuz nzuri
5 ★شكرا لك
5 ★Baada ya kukisoma hichi kitabu. Wallahi nimekubali pasipo kuwa na shaka kwamba , hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Allah subhannahu Karim. Na Muhammad salalahu waaleihim salama ni mtume wake kwangu Mimi. Nimeiacha njia ya washirikina na namshukuru mwenyezi mungu kw a kunirehemu Mimi na nawaombea jamaa zangu wasome na mwenyezi mungu awatie nuru ndani ya nyoyo zao. Waache ibada za kumshirikisha Allah na Allah ndiye mkarimu kuliko wote wanaombwa atawasamehe madhambi yao. Nashukuru nimefunga Ramadan..
1 ★Labda ungejadili imani yenu inayowambia munguwenu atawazawadia wanawake bikra huko peponi muwabikri
5 ★Ukwel ukidhihirika uongo hujitenga Kwa hakika kitabu hiki humuweka mtu huru Ila Kwa sharti akiwatayar kuutafuta ukwel hivyo tusomen tukiwa na dhamira ya kuujua ukwel Ili tuokoke dhidi hasira na Adhabu ya Mungu Baba aliye wapekee Kama Yesu alivyomkiri Yoh 17:3, na Yoh 20:17, Marko 12:28, Math 4:10 , Isaya 46:5 n.k maana ni mungi sana cwez yamaliza him. Mungu tuongoze sote
5 ★Umelingalisha ELIMU sahihi kabisa