Global App Apk

Global App Apk

Latest version 3.7.4
30 Jan 2021

Older Versions

Apk Infos

Version3.7.4
Rating4.3/5, based on 269 votes
Size‎17.8 MB
Requires AndroidAndroid 5.0+ (Lollipop)
Author's NotesKuwa wa Kwanza Kupata Habari Zote Kali

About Global App APK

Global App APK Download for Android
Global App APK Download for Android

Description

GLOBAL PUBLISHERS, Kupitia App yake mpya ya GLOBAL APP, imekurahisishia upataji na usomaji wa Habari za Kila Siku kuhusu Mastaa wa Bongo, Watu Maarufu, Viongozi, zikiwemo Habari za Magazeti ya Tanzania za kila siku asubuhi, REAKING NEWS mara tu zinapotokea kwa kupokea Notification kwenye simu yako ya kiganjani. Ndani ya App hii kuna Global TV Online ikikuletea video zote kali za kila siku kutoka Ikulu, Mastaa wa Bongo, Wanasiasa Wote na Matukio yote Makubwa.

AIDHA, utaweza kusoma MAGAZETI YA UDAKU pamoja na Hadithi za Eric Shigongo kwa Mfumo wa Audio na Text. Pia Video Za Muziki Mpya wa Bongo Fleva, Habari zote za Michezo na Makala za Mapenzi na Afya unazipata ndani ya GLOBAL APP. Utakuwa ukipata Notification mara tu Taarifa ya Habari yaTBC1 inapoanza saa moja asubuhi, saa 7:00 mchana, saa 2:00 usiku na Global Habari inapoanza kila siku jioni.
Mastaa wa Bongo: Diamond Platnumz, Ali Kiba, Wema Sepetu, Zari The Bosslady, Aunt Ezekiel, Hamisa Mobeto, Lulu MIchael, Tunda, Giggy Money, Malaika,

DOWNLOAD GLOBAL APP SASA ILI UWE WA KWANZA KUHABARIKA NA KUBURUDIKA!

Latest updates

What's new in version 3.7.4

Bug Fixes
Payment Issues Resolved

How to install Global App APK on Android phone or tablet?

Download Global App APK file from ApkClean, then follow these steps:

Update Phone Settings

  • Go to your phone Settings page
  • Tap Security or Applications (varies with device)
  • Check the Unknown Sources box
  • Confirm with OK

Go to Downloads

  • Open Downloads on your device by going to My Files or Files
  • Tap the APK file you downloaded (com.globalpublishers.mainapp-v3.7.4-ApkClean.apk)
  • Tap Install when prompted, the APK file you downloaded will be installed on your device.

Older Versions

3.7.4 (400065)17.8 MB
5.2.18 (50218)12.8 MB

Questions & Answers

Q: What is an APK File?

A: Just like Windows (PC) systems use an .exe file for installing software, Android does the same. An APK file is the file format used for installing software on the Android operating system.

Q: If I install an APK from this website, will I be able to update the app from the Play Store?

A: Yes, absolutely. The Play Store installs APKs it downloads from Google's servers, and sideloading from a site like ApkClean.net goes through a very similar process, except you're the one performing the downloading and initiating the installation (sideloading).
As soon as the Play Store finds a version of the app newer than the one you've sideloaded, it will commence an update.

Q: Why ApkClean.net can guarantee APK 100% safe?

A: Whenever someone wants to download an APK file from ApkClean.net, we'll check the corresponding APK file on Google Play and allow user download it directly (of course, we'll cache it on our server). If the APK file does not exist on Google Play, we'll search it in our cache.

Q: What are Android App permissions?

A: Apps require access to certain systems within your device. When you install an application, you are notified of all of the permissions required to run that application.

Don't hesitate to contact us if you have any questions or concerns.

(*) is required

User's Reivew

5 ★jamani mbona tunanunua magazeti lakin yanachelewa kufunguka
5 ★Mbona mimi nikitaka kununua inagoma?
5 ★nimeipenda
4 ★It's Good
5 ★Global App iko bomba saaana saaaana, na habari zenu zuri na zinavutia. maaana nafurahi kuazia instagram,mpaka youtube, halla Global. ki ukweli mko poa saaaana saaaana. Baada ya muda inabidi mlete television sasa
5 ★nimeikubali app hii na inauwezo mkubwa kwan inakuwezesha kupata habari za video na audio
5 ★yamba loloo
5 ★kimara
5 ★Very nice
5 ★Good app
5 ★GOOD App I love it... Install now
5 ★Very updated news including video illustrations and documentary.