Ubongo Kids - Hesabu za Panya Apk

Ubongo Kids - Hesabu za Panya Apk

Latest version 1.2.1
29 Nov 2016

Older Versions

Apk Infos

Version1.2.1
Rating4.3/5, based on 557 votes
Size‎19.3 MB
Requires AndroidAndroid 2.3+ (Gingerbread)
Author's NotesMsaidie Kibena kuhamisha panya kwa kujiunga nae kwenye kitabu hiki cha maajabu!

About Ubongo Kids - Hesabu za Panya APK

Ubongo Kids - Hesabu za Panya APK Download for Android
Ubongo Kids - Hesabu za Panya APK Download for Android

Description

Tumia ubongo wako kumsaidia Kibena kuwahamisha panya kwa kushirikiana nae kwenye kitabu hiki cha maajabu! Hadithi hii iliyoko kwenye kitabu hiki cha maajabu imetoka kwenye kipindi maarufu cha “Heka Heka za Panya”.
Utapata nafasi ya kusoma hadithi mwenyewe ama kusomewa. Tumia ubongo wako kufikiria na kufumbua mafumbo mbalimbali ili uweze kupata fursa ya kufungua ukurasa wa kitabu unaofuatia. Ila hakikisha kuwa husahau panya yeyote njiani! Kitabu hiki ni BURE kabisa, hutahitajika kulipia chochote mwanzo hadi mwisho.


JIFUNZE:
Thamani za namba
Kujumlisha
Kutoa
Kusoma

Umeiona AKILI’S ALPHABET – app MPYA toka UBONGO?
Ahsante kwa kupakua Ubongo Kids – Hesabu za Panya. Tunakukaribisha ujaribu “Akili’s Alphabet” – app yetu mpya ya BURE inayoelimisha watoto wenye umri wa miaka 3 hadi 6.

Mtoto wako atajifunza sauti za herufi kupitia app hii kutoka kwa waandaaji wa kipindi akipendacho cha Akili and Me. Atafurahi na Akili na marafiki huku akisikiliza herufi zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu.

"Akili's Alphabet" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha Akili and Me. Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja.

KUHUSU UBONGO:
Ubongo ni kampuni ya kijamii iliyopo nchini Tanzania ambayo imedhamiria kuwawezesha wanafunzi kujifunza na kufurahia kujifunza kupitia njia za kidigitali zinazoendana na mazingira halisi ya Afrika. Kipindi chetu cha Ubongo Kids kinazifikia zaidi ya familia 2.8 milioni kila wiki katika nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, na Ghana na kuwawezesha wanafunzi kujifunza Hisabati na Sayansi.

Latest updates

What's new in version 1.2.1

Enhanced performance and user experience

How to install Ubongo Kids - Hesabu za Panya APK on Android phone or tablet?

Download Ubongo Kids - Hesabu za Panya APK file from ApkClean, then follow these steps:

Update Phone Settings

  • Go to your phone Settings page
  • Tap Security or Applications (varies with device)
  • Check the Unknown Sources box
  • Confirm with OK

Go to Downloads

  • Open Downloads on your device by going to My Files or Files
  • Tap the APK file you downloaded (com.ubongokids.ratmathKis-v1.2.1-ApkClean.apk)
  • Tap Install when prompted, the APK file you downloaded will be installed on your device.

Older Versions

1.2.1 (20161129)19.3 MB

Questions & Answers

Q: What is an APK File?

A: Just like Windows (PC) systems use an .exe file for installing software, Android does the same. An APK file is the file format used for installing software on the Android operating system.

Q: If I install an APK from this website, will I be able to update the app from the Play Store?

A: Yes, absolutely. The Play Store installs APKs it downloads from Google's servers, and sideloading from a site like ApkClean.net goes through a very similar process, except you're the one performing the downloading and initiating the installation (sideloading).
As soon as the Play Store finds a version of the app newer than the one you've sideloaded, it will commence an update.

Q: Why ApkClean.net can guarantee APK 100% safe?

A: Whenever someone wants to download an APK file from ApkClean.net, we'll check the corresponding APK file on Google Play and allow user download it directly (of course, we'll cache it on our server). If the APK file does not exist on Google Play, we'll search it in our cache.

Q: What are Android App permissions?

A: Apps require access to certain systems within your device. When you install an application, you are notified of all of the permissions required to run that application.

Don't hesitate to contact us if you have any questions or concerns.

(*) is required

User's Reivew

5 ★App ni nzuri sana kwa watoto kujifunza hesabu, good work and keep it up
1 ★Nimependa sana Ubungo kids sasa kijana wangu amejua kuhesabu na kutamka herufi naomba mtutembelee na mikoani jaman
5 ★Nimefurahishwa sana na app hii kwa mtoto wangu akiangalia anajifunza vizuri sana na anafurahia sanaaa
5 ★You have to improve it as for small babies like 2yrs to learn it
5 ★Big up watanzania we zangu big up nchi yetu
5 ★Kupitia ubongo kids waweza kujifunza vizuri sana kwan watoto hujifunza kwa vitendo zaidi
5 ★My kids love it soon much.
1 ★Moo vizuri sana nawafuatilia kila Jmosi na jpili Tbc1
5 ★I love it mpo vema ubongo ndo maana mkaitwa ubongo
5 ★Ubongo kids your good guys keep it for teenage
2 ★Ubongo kids muna fanya kazi nzuri mpaka watoto wetu wanajua kuhisabu
4 ★I like ubongo kids because inawafundxha watto we2