Mawazo ya Biashara Apk

Mawazo ya Biashara Apk

Latest version 29.9.9
13 Dec 2018

Older Versions

Apk Infos

Version29.9.9
Rating4.5/5, based on 670 votes
Size‎5.7 MB
Requires AndroidAndroid 4.2+ (Jelly Bean)
Author's NotesPata business idea mbali mbali kuanzia mtaji mdogo hadi mkubwa

About Mawazo ya Biashara APK

Mawazo ya Biashara APK Download for Android
Mawazo ya Biashara APK Download for Android

Description

Mawazo Ya Kibiashara
App hii inayo mkusanyiko wa makala ya mawazo ya kibiashara, ufugaji, uwekezaji mdogo hadi mkubwa, pamoja na biashara za mtandaoni. Makala hayo tofauti tofauti yatakukusaidia kukujenga na kuamua ni biashara ipi unaweza kuifanya kulingana na mtaji ulio nao.

Kunayo makala zaidi ya 300 ambayo yamefanyiwa utafiti na kubainika yanaweza yakaleta mabadiliko chanya kwa wajasiriamali wadogo wadogo ndani ya muda mfupi wa uwekezaji, pia App hii itakupa mbinu za kutunza mtaji mdogo katika biashara na kuukuza kuelekea kuwa mtaji mkubwa.

App hii imewasaidia vijana zaidi ya 50 walioamua kufanyia kazi moja ya mawazo yaliyopo na kuwafanya kuwa wajasiriamali wazuri na wazalishaji wazuri. Kuna mengi yakujifunza ndani ya App hii kuhusu biashara ikiwemo
1.Jinsi ya kupata mtaji✔️
2.Jinsi ya kukuza mtaji mdogo kuelekea mkubwa✔️
3.Jinsi ya kupanua biashara✔️
4.Jinsi ya kupata wateja wakudumu✔️
5.Jinsi ya kutangaza biashara✔️
6.Jinsi ya kuongeza uzalishaji✔️

Hayo ni machache kati ya yaliyomo kwenye App hii ambayo kwa uhakika tunajua yatakubadilisha na kukupa mitazamo mipya juu ya uwekezaji/Ujasiriamali. Karibu Pakua App Hii Uanze Kujifunza, Kwa Msaada wa haraka na maelezo zaidi wasiliana nasi kwa Email: choicebongo@gmail.com

How to install Mawazo ya Biashara APK on Android phone or tablet?

Download Mawazo ya Biashara APK file from ApkClean, then follow these steps:

Update Phone Settings

  • Go to your phone Settings page
  • Tap Security or Applications (varies with device)
  • Check the Unknown Sources box
  • Confirm with OK

Go to Downloads

  • Open Downloads on your device by going to My Files or Files
  • Tap the APK file you downloaded (com.tz.bestjobs-v29.9.9-ApkClean.apk)
  • Tap Install when prompted, the APK file you downloaded will be installed on your device.

Older Versions

29.9.9 (46)5.7 MB

Questions & Answers

Q: What is an APK File?

A: Just like Windows (PC) systems use an .exe file for installing software, Android does the same. An APK file is the file format used for installing software on the Android operating system.

Q: If I install an APK from this website, will I be able to update the app from the Play Store?

A: Yes, absolutely. The Play Store installs APKs it downloads from Google's servers, and sideloading from a site like ApkClean.net goes through a very similar process, except you're the one performing the downloading and initiating the installation (sideloading).
As soon as the Play Store finds a version of the app newer than the one you've sideloaded, it will commence an update.

Q: Why ApkClean.net can guarantee APK 100% safe?

A: Whenever someone wants to download an APK file from ApkClean.net, we'll check the corresponding APK file on Google Play and allow user download it directly (of course, we'll cache it on our server). If the APK file does not exist on Google Play, we'll search it in our cache.

Q: What are Android App permissions?

A: Apps require access to certain systems within your device. When you install an application, you are notified of all of the permissions required to run that application.

Don't hesitate to contact us if you have any questions or concerns.

(*) is required

User's Reivew

3 ★It's the best coz I learn lot's of things that I never knew before
5 ★App n nzuri Sana kwa wale wanaotafuta aina Gan ya biashara wafanye
5 ★I really like the app...this is the application everyone should have.
5 ★Mawazo yenu ni mazuri sana naamini kila mwenye uelewa lazima atoboe.
5 ★App nzuri sanaa, naipenda sana na inasaidia sanaa kujua biashara ya kufanya
5 ★This app has productive ideas, I like it.
5 ★App nzuri Nimeipenda sana. Best app for entrepreneurs
5 ★Ni nzuri hata najuta kwanini jilichelewa kudownload. Safi sana inasaidia
5 ★Ni app nzuri kwa wafanyabiashara na wajasiria mali wadogo
5 ★It has a range of info that one needs to think of a business line..👍👍
3 ★App inatoa maarifa kwa wahitajo hongereni saana na ahsanteni saaaana
4 ★Inasaidia kutoa mawazo kwa watu ambao bado hawajajua wafanye nn